Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Kamati ya Uchumi, Viwanda, Biashara na Mazingira yapitisha makadirio ya bajeti ya Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018


Kamati ya Uchumi, Viwanda, Biashara na Mazingira yapitisha makadirio ya bajeti ya Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika kikao lkilichohusisha kamati ya kudumu ya bunge ya Uchumi, Viwanda, Biashara na Mazingira pamoja na wataalamu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na taasisi zilizo chini ya wizara. katika kikao hiki Katibu Mkuu wa Wizara Mhe. Dkt. Adelhelm Meru aliwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya wizara kwa mwaka wa fedha unaoishia june 30, 2017 na kueleza mpango wa shughuli zitakazofanywa mwaka ujao wa fedha 2017/2018. wanakamati kwa kauli moja walipitisha randama ya bajeti na kutoa ushauri kwa wizara kwa baadhi ya maeneo yanahitaji kufanyiwa marekebisho.