Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Kikao kazi cha Mawaziri


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb) akishririki kikao kazi cha pamoja akiwa na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mipango na Uwekezaji,  Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Abballah Ulega (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande(Mb)

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Hazina ndogo Jijini Dar es salaam Januari 2,2024 kilichoshirikisha baadhi ya Taasisi zilizoko chini ya Wizara hizo kujadili mambo mbalimbali yakiutendaji yanayohusu Wizara hizo na Taasisi zake.