Habari
Kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Desemba, 2024
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe(Mb) akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Wizara kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Desemba, 2024 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.