Habari
Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) na wamiliki wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni Limestone wakivuta kitambaa kuashiria wa ufunguzi wa Kiwanda hicho Februari 27,2025 Mkoani Tanga.