Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mkutano wa Kwanza wa Dharura wa Baraza la Kisekta la Mawaziri Wanaosimamia Masuala ya Fedha na Uchumi (SCFEA)


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) wa kwanza kulia akishiriki Mkutano wa Kwanza wa Dharura wa Baraza la Kisekta la Mawaziri Wanaosimamia Masuala ya Fedha na Uchumi (SCFEA) wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika Julai 25, 2025 katika Makuu ya Jumuiya hiyo, jijini Arusha.

Ujumbe wa Tanzania katika Mkutano huo uliongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb