Habari
WATUMISHI WA WIZARA YA VIWANDA WASHIRIKI UFUNGUZI WA SHIMIWI
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wameshiriki kwenye ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2026 yanayoendelea mkoani Kilimanjaro.
Ufunguzi huo umefanyika leo tarehe 25 Septemba 2026 katika Viwanja vya Chuo Cha Polisi CCP na Waziri wa Habari sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Paul Makonda.
