Habari
BW. EXAUD AWASILISHA RIPOTI YA UHURU WA KIUCHUMI KWA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

Mkurugenzi wa Liberty Sparks, Bw. Evans Exaud akiwasilisha ripoti ya tathmini ya Uhuru wa Kiuchumi kwa Wizara ya Viwanda na Biashara Septemba 23, 2025 jijini Dodoma.