Habari
BI. SANGA AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UHURU WA KIUCHUMI DODOMA

Mchumi Mkuu, Bi. Helena Sanga akiambatana na baadhi ya Watalaam wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa kwenye kikao cha kupokea ripoti ya tathmini ya Uhuru wa Kiuchumi kutoka Taasisi ya Liberty Sparks Septemba 23, 2025 jijini Dodoma.