Habari
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) akikagua ujenzi wa Ofisi ya Machinga Mkoa wa Geita

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) akikagua ujenzi wa Ofisi ya Machinga Mkoa wa Geita Septemba 22, 2023 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan alitoa milioni 10 kwa ajili ya ujenzi huo wakati wa Siku Maalum ya Watoa Huduma/Leseni zinazohusiana na Madini na Uwezeshaji Mitaji katika Maonyesho ya Sita ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.