Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA)


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt. Selemani Jafo (Mb) akikata utepe na kubofya kitufe kuashiria uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA) Julai 24,2025 Hoteli ya Four Points Jijini Dar es Salaam.