Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ufunguzi wa Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga-Simiyu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) akitoa maelezo kuhusu Kiwanda cha MOLI Oil Mills Co. Ltd Milembe Gugu Silanga kinachohusika na utengenezaji wa mabomba ya maji na uchakataji wa pamba kabla ya ufunguzi wa kiwanda hicho 16 Juni, 2025 Bariadi mkoani Simiyu.