Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ushiriki wa kikao cha awali cha Maafisa Waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika (SADC)


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akishiriki kikao cha awali cha Maafisa Waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini kwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani , kilichofanyika Agosti 13, 2025. Jijini Antananarivo Madagasca