Habari
Picha ya pamoja wakati wakihudhulia Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (Africa Food System Forum)

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda (Watatu kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil T. Abdallah ( Wanne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakihudhulia Jukwaa la Mfumo wa Chakula Afrika (Africa Food System Forum) linalofanyika kwenye Kituo cha Mikutano Kigali, Rwanda Septemba 04, 2024.
6w