Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mandalizi ya Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Viwango House


 

 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil Abdallah akiteta Jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Prof. Othman Chande, Mkurugenzi Mkuu (TBS) Dkt. Ashura Katunzi pamoja na Viongozi wengine wa Wizara na TBS kuhusu mandalizi ya Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi wa Viwango House yaliyofanyoka Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.