Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo(Mb) akiwa na Mawaziri wengine wakifuatilia uwasilishaji wa Bajeti kuu ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba Bungeni Jijini Dodoma Juni 12,2025