Habari
RAIS SAMIA AZINDUA KITUO CHA KUZALISHA UMEME CHA JULIUS NYERERE (JNHPP)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) ambapo viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wameshiriki akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Judith Kapinga Agosti 22, 2026 Rufiji, mkoani Pwani. Kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha Megawati 2115.
