Habari
Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Frederik Grootendorst, Mkurugenzi Mkuu na Mwakilishi wa Kampuni ya Shell nchini

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Frederik Grootendorst, Mkurugenzi Mkuu na Mwakilishi wa Kampuni ya Shell nchini Tanzania.
Katika mazungumzo hayo wamejadili masuala mbalimbali ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na kampuni hiyo inayojihususha na uzalishaji na usambazji wa bidhaa za petroli
Mazungumzo hayo yamefanyika Leo Aprili 21, 2021 Dar es salaam.