Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

BODI YA WAKURUGENZI TANTRADE KUCHOCHEA MAENDELEO YA BIASHARA


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema uwepo wa Bodi ya Wakurugenzi a TanTrade utachochea mafanikio ya mikakati mingi ya Kibiashara ya Mamlaka ya hiyo ambayo imewekwa kusaidia masoko ya bidhaa nchini na maendeleo ya Biashara.

Mhe.Kigahe amebainisha hayo wakati wa Hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya Wakurugenzi ya TanTrade Agosti 22,2025 Jijini Dar es Salaam