Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Tanzania na Japan kushirikiana kutekeleza Mradiu wa BDS - KAIZEN nchini.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara amekutana na kuzungumza na  Mratibu Kiongozi wa Mradi wa Utoaji wa Huduma za Maendeleo ya Biashara  (BDS) katika Programu ya KAIZEN chini ya Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA)  Bw. Kaisuke Sugiyama  na ujumbe wake kuhusu utekelezaji wa Mradi wa BDS - KAIZEN nchini katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, Oktoba 13, 2023.