Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameshiriki katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya VETA ambapo Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa (Mb) Machi 18,2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Dar es Salaam