Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe(Mb) ameshiriki katika ziara ya Waziri Mkuu


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe(Mb) ameshiriki katika ziara ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa hadhara Machi 23, 2025 Wilaya ya Makambako mkoani Njombe.