Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Uzinduzi wa Sera ya Biashara ya 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt Selemani Jafo (kulia) na. Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe. Omar Said Shaaban pamoja na viongozi wengine wakati wa uzinduzi wa Sera ya Biashara ya 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 katika Hafla iliofanyika New Amani Hotel , Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi Aprili 30,2025