Habari
Uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za Viwanda na Biashara za wanawake na vijana Tanzania
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) akikata utepe kamai ishara ya uzinduzi wa maonesho ya bidhaa za Viwanda na Biashara za wanawake na vijana Tanzania Machi 3, 2025 jijini Dar Es Salaam (Mlimani city)