Habari
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akimkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah akimkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo kuongea na washiriki wakati wa Hafla ya utiaji saini Tamko la kuanzisha Kamati ya Pamoja ya Biashara (JTC) kati ya Tanzania na Uturuki lililofanyika Julai, 23, 2025 jijini Dar es Salaam.