Habari
Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na na Biashara, Dkt.Suleiman Serera akikagua na kujionea mabanda ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo zinazoshiriki maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Juni 16, 2025 katika viwanja vya Chinangali park Jijini Dodoma.