Habari
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake wakiendelea kuwahudumia wateja mbalimbali wanaowasili katika Banda la Wizara
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake wakiendelea kuwahudumia wateja mbalimbali wanaowasili katika Banda la Wizara katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma Agosti 8, 2025.