Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Furaha ya kweli.


Furaha ya Kweli!… Mhe. Jakaya Kikwete akiwa na Mhe. Selemani Jafo wakifurahia huduma ya Royal Buggies ya Shirika la Posta Tanzania, walipotembelea viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya SABASABA