Habari
Ukaguzi katika Jengo la Wakala wa Vipimo

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt Ashatu Kijaji (Mb) atembelea na kukagua hatua mbaliimbali za ujenzi zilizofikiwa hadi sasa za Jengo la Wakala wa Vipimo (WMA),Februari 05, 2024.
Jengo hilo linatarajiwa kuwekwa Jiwe la Msingi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Februari 6, 2024.