Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Wageni mbalimbali wakitembelea Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tume ya Ushindani nchini, Dkt. Aggrey Mlimuka (aliyevaa suti) akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Sempeho Manongi wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo, zinazoshiriki maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Julai 11, 2025 jijini Dar es Salaam.

Maonesho ya Sabasaba yenye Kauli mbiu ya *Maonesho ya Kimataifa-Sabasaba Fahari ya Tanzanzania* yalianza Juni 28, 2025 na yanatarajiwa kumalizika Julai 13, 2025 na ile ni siku ya 14 tangu yaanze.