Habari
Wasilisho la Wizara katika kikao kazi cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Kijaji na Wakuu wa Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Manongi akitoa mada katika Kikao kazi cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu kijaji na Maafisa biashara wa Mikoa na Wakuu wa idara za Viwanda,Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri nchini Aprili 07,2024 Mkoani Morogoro.
Kikao hicho cha siku mbili kilianza Tarehe April 6,2024 na kufikia tamati Aprili 7,2024.