Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kutembelea na kukagua ujenzi wa Viwanda Vipya.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kutembelea na kukagua ujenzi wa kiwanda kipya cha Nondo cha KILUWA STEEL LIMITED GROUP kinachomilikiwa na Mzawa Bw. Mohamed Kaluwa kwa kushirikiana na wawekezaji kutoka China, kiwanda hiki kipo Kibaha Mkoani Pwani na pia Kiwanda cha kutengeneza vigae (tiles) cha Ceramic Co. Ltd kilichopo Mkuranga.