Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb) kabla ya kuongea na Wafanyabiashara wa Mkoa wa Kagera waloalikwa Bungeni na Wabunge wa Kagera Septemba 4, 2024 Bungeni jijini Dodoma.