Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akikagua mabanda ya maonesho ya (AfCFTA)


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akiwa na Naibu Waziri wa Viwanda ba Biashara Mhe. Exaud Kigahe na Katibu Mkuu Kiongozi-Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi zenna Said wakipokea wageni na kukagua mabanda ya maonesho katika Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara Afrika(AfCFTA) Desemba 06, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere(jNICC) Jijini Dar es salaam