Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof Kitila Mkumbo aanza kazi mapema baada ya kuapishwa


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe (kulia) akimkaribisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof, Kitila Mkumbo (kushoto) baada ya kuwasili ofisini muda mchache baada ya kuapiswa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Wizara hiyo katika hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 01 Aprili 2021. Katikati ni Naibu wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb)