Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo akiongea na menejimenti, uongozi na wafanyakazi wa Taasisi ya Wakala wa Usajili wa biashara na leseni (BRELA)

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo akiongea na menejimenti, uongozi na wafanyakazi wa Taasisi ya Wakala wa Usajili wa biashara na leseni (BRELA)

Katika ziara yake ya kutembelea taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara ikiwa ni mara ya kwanza kutembelea taasisi hiyo tangu alipoteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuongoza wizara hii. Leo Aprili 21, 2021 Dar es salaam