Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo akutana na menejimenti na wafanyakazi EPZA


Waziri wa Viwanda na Biashara na Mwenyekiti wa bodi wa wakurugenzi wa EPZA Prof. Kitila Mkumbo akiongea na menejimenti na wafanyakazi wa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uzalishaji kwa Mauzo ya nje (Export Processing Zones Authorty - EPZA)

Kikao hicho ni mwendelezo wa ziara zake kwenye taasisi zilizochini ya wizara ya Viwanda na Biashara na kimefanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa EPZA - Ubungo Dar es salaam. Leo Aprili 21, 2021