Habari
Watumishi (Wanawake) wa Wizara ya Viwanda na Biashara wamejitokeza kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa
Watumishi (Wanawake) wa Wizara ya Viwanda na Biashara wamejitokeza kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo kitaifa yamefanyika Machi 8, 2025 katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid vilivyopo jijini Arusha.
Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.