Habari
Ziara Jengo la Wakala wa Vipimo

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Sempeho Manongi akiongozana na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kutembelea Jengo la Wakala wa Vipimo kukagua hatua mbalimbali za ujenzi wa Jengo hilo, Februari 2, 2024.
Jengo hilo linatarajiwa kuwekwa Jiwe la Msingi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Februari 6, 2024.