Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ziara Mpakani


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Exaud Kigahe (Mb) ametembelea, kukagua na kuona namna ya kutatua changamoto za kituo cha forodha cha pamocha cha Sirari, mpakani mwa Tanzania na Kenya Februari 25, 2025.