Habari
Ziara ya Katibu Mkuu Biashara na uwekezaji Mhe. Prof. Adolf Mkenda Mkoani Mtwara.

Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia Biashara na uwekezaji mhe. Prof. Adolf Mkenda akutana na wadau mbalimbali wa korosho Tanzania. Katibu mkuu yuko ktk ziara ya kusikiliza changamoto za korosho, maghala ya kuhifadhia korosho, vipimo na masoko mkoani mtwara.