Habari
ziara ya kukagua, kusikiliza changamoto na kushauriana namna ya kuzitatua Februari 19, 2025 mkoani Singida.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) akiangalia hatua za ukamuaji wa mafuta ya alizeti, kuyachuja na kuyaongezea virutubisho baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha Wild Flower Grain and Oil Mills Co. Ltd kwa ziara ya kukagua, kusikiliza changamoto na kushauriana namna ya kuzitatua Februari 19, 2025 mkoani Singida.