Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Ufunguzi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 07,2025.


Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi akiwa na Waziri wa Viwanda na Bishara Mhe Dkt Seleman Jafo (Kulia) na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania ( TANTRADE) wakati akizindua Nembo ya Made in Tanzania wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 07,2025.