Habari
Dkt.Hussein Mwinyi akipokea zawadi ya kumbukumbu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi akipokea zawadi ya kumbukumbu kutoka kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo wakati wa Ufunguzi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 07,2025.