Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Majadiliao -Expo 2025 Osaka Japan.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar anayesimamia masuala ya Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Mhe. Shariff Ali Shariff pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah wakijadiliana jambo baada ya kuona michoro ya Tinga Tinga ilivyokuwa kivutio kwa Watembeleaji walipotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Expo 2025 Osaka Japan, Mei 23, 2025 Osaka Japan