Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mazungumzo na Ujumbe kutoka Singapore


 

 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Suleiman Serera amekutana na kufanya Mazungumzo na Ujumbe kutoka Singapore ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Kitengo cha India, Asia Kusini, Mashariki ya Kati na Afrika wa Wizara ya Viwanda na Biashara kutoka Singapore Bw. Francis Chong Mei 21,2025

Mazungumzo hayo yakiwa yamehudhuriwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania yamelenga kuimarisha ushirikiano uliopo hasa katika Biashara na Masoko baina ya nchi hizo mbili.