Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

DKT. HASHIL ABDALLAH APOKEA TAARIFA FUPI YA MWELEKEO MKAKATI WA TEMDO ARUSHA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda Biashara Dkt. Hashil Abdallah akipokea Taarifa fupi ya Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) Kanali Mstaafu Joseph Simbakalia na Mkurugenzi Mkuu wa TEMDO Mhandisi Prof. Frederick Kahimba kabla ya kikao maalum cha kujadili mwelekeo wa kimkakati wa Shirika (Strategic Perspective) kuelekea maandalizi ya Mpango Mkakati wa TEMDO (SAP) 2025-2030 , Oktoba 04, 2025 Jijini Arusha.