Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Mhe.Kasim Majaliwa akitoa Tuzo na Vyeti kwa Washindi na Wadhamini wa Maonesho ya 49 DITF 2025


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa akitoa Tuzo na Vyeti kwa Washindi na Wadhamini wa Maonesho ya 49 DITF 2025 wakati wa Ufungaji rasmi wa Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 13,2025.