Habari
Kikao cha Mawaziri, viongozi wa wizara pamoja na wakuu wa idara na vitengo
Waziri Mhe. Charles Mwijage pamoja Naibu Waziri Mhe. Injinia Stella Manyanya wakutana na viongozi pamoja na wakuu wa idara na vitengo kujadili utekelezaji wa shughuli za wizara.