Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Viwanda na Biashara

Habari

Kikao Kazi cha Katibu Mkuu na Menejimenti na Wakuu wa Taasisi hizo Septemba 12, 2024, Morogoro 5w


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah akiwa na Mwenyekiti wa Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara Prof Mdundo Mtando wakiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo vya Wizara pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizochini ya Wizara (NDC, TIRDO, TEMDO, CAMARTEC, SIDO, TBS, BRELA, FCC, FCT, TANTRADE, WRRB CBE, WMA) Baada ya kushiriki Kikao Kazi cha Katibu Mkuu na Menejimenti na Wakuu wa Taasisi hizo Septemba 12, 2024, Morogoro

5w