Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe Dkt. Selemani Jafo (Mb) na Naibu Waziri wa Wzara hiyo Mhe.Exaud Kigahe (Mb) wakiwa na baadhi ya Mawaziri wengine kwenye Maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge Kitaifa 2024, yaliyoenda sambamba na Kumbukizi ya miaka 25 ya Baba wa Taifa Mwalimu julius Kambarage Nyerere na miaka 60 ya Jeshi la Tanzania, yaliyofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Oktoba 2024, Jijini Mwanza ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan.